Mwanga Wa Usiku

ebook Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha Pili

By Amy Blankenship

cover image of Mwanga Wa Usiku

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Quinn Wilder alimuangalia kwa macho ya njaa ya simba tangu siku aliyozaliwa. Alipofikia ujana, hamu ya kumdai kuwa mwenzake kuligeuka kuwa mgawanyiko mkubwa kati yake na kaka zake waliyokuwa walinzi wake. Wakati baba zao walipouana vitani, mahusiano kati ya familia hizo mbili zili katika na aliwekwa mbali naye. Akimchungulia kutoka mbali, Quinn anaviona vita vya wafyonza damu kuwa na uzuri wake wakati Kat anasahau kukaa mbali naye. Kat Santos alikuwa hajamuona mwenye kilabu cha Mwanga wa Usiku kwa miaka. Hiyo ilikuwa hadi Quinn alipoamua kumteka nyara ghafla na kumshitaki kuwa alimtega kwa mauaji yaliyo timizwa na wafyonza damu. Walipogundua kuwa adui alikuwa akiwachezea, familia zote mbili zinaunganisha nguvu zao kuwazuia wafyonza damu kuutisha mji wao. Wakati vita vya chini kwa chini vikishika kasi, pia miale ya tamaa kwa kile kilichoanza kama kuteka nyara inageuka haraka kuwa mchezo hatari wa utongozaji

Mwanga Wa Usiku