Vitu Hatari

ebook Mfululizo Wa Vitabu Vya Kuunganishwa Kwa Damu Kitabu Cha 3

By Amy Blankenship

cover image of Vitu Hatari

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni... alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake... kwa ulinzi wake mwenyewe.Kila mmoja husema kuwa kuna njia mbili katika maisha, lakini kwa Jewel Scott, ilionekana kama zote zilikuwa hatari sana. Moja iliongoza hadi kwa Anthony, mbweha-mtu aliyekuwa na wazimu wa kuuwa watu, aliyekuwa pia kichwa cha umati na mchumba wake... kinyume na matakwa yake. Njia ile nyengine inaongoza hadi kwa Steven, simba-mtu aliye mpiga kwa gongo la mpira wa besiboli walipokutana mara ya kwanza. Aliitikia kwa kumteka nyara na kumfanya mwenzake.Steven Wilder aliuangukia ile fimbo ya yule msichana kwa njia nyingi kando na kuanguka sakafuni... alitaka kumueka. Alipotambua kuwa alikuwa ameahidiwa kwa yule kiongozi wa umati ulimpa sababu aliyoitaka ili kumteka nyara na kumfanya mwenzake... kwa ulinzi wake mwenyewe.Anthony Valachi alimtamani Jewel kupita kiasi wakati alipokuwa ni zaidi tu ya mtoto, na kwa sheria za umati, alishika usikani wa bibi harusi wake. Ikiwa mtu yeyote alifikiri kuwa wangemuiba kutoka kwake walikuwa wamekosea... kosea kabisa.

Vitu Hatari