Kijana wa Kusafisha Vidimbwi--Hadithi Fupi ya Mapenzi

ebook

By Anita Bang

Kijana wa Kusafisha Vidimbwi--Hadithi Fupi ya Mapenzi

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...
"...kila nilipotazama nilijihisi mnyonge na mwenye kuchanganyikiwa. Kwa kutii amri fulani ya msukomo wa damu, nilivua rinda na kulitupa sakafuni. Chupi zangu zilikuwa zimeloa kwa jasho na hamu. Nilizisukuma chini na zikaishia kuwa kama mrundiko karibu na rinda langu lililokuwa sakafuni. Glasi ya kioo cha dirisha iilikuwa baridi sana iliponigusa matiti yangu yaliyokuwa uchi na tezi zikawa zinanipanda katika maeneo ya ndani kabisa ya mwili wangu. Mawazo yangu yote yalikuwa yakiuzunguka mwili wa kijana huyu, miondoko yake yenye tajriba na misuli yenye nguvu." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa ushirikiano na mzalishaji wa filamu wa Kiswidi Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.
Kijana wa Kusafisha Vidimbwi--Hadithi Fupi ya Mapenzi