Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani

ebook Anne of Green Gables

By L. M. Montgomery

cover image of Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani

Sign up to save your library

With an OverDrive account, you can save your favorite libraries for at-a-glance information about availability. Find out more about OverDrive accounts.

   Not today
Libby_app_icon.svg

Find this title in Libby, the library reading app by OverDrive.

app-store-button-en.svg play-store-badge-en.svg
LibbyDevices.png

Search for a digital library with this title

Title found at these libraries:

Loading...

Mama Rachel Lynde alikuwa anaishi pale barabara kuu ya Avonlea inayoingia katika kijimsitu kilichojaa miti ya aina yake ambayo hutoa dawa, na kuna kijito kinachokatiza ambacho chanzo chake kimeanzia katika msitu ulioko karibu na kwa mzee Cuthbert. Kijito hiki kirefu kilikuwa na maajabu hapo awali kilipokuwa kikianza ndani ya msitu huo. Kilikuwa na siri nzito ya bwawa na maporomoko ya maji makali lakini madogo, wakati kinajitokeza karibu na kichaka cha Mama Lynde kiligeuka kuwa mto ukitiririsha maji kwa adabu kama vile kilikuwa kinamwogopa Mama Rachel Lynde ukipita mlangoni kwake bila kelele yoyote. apate jibu kwa nini hakiko sawa.

Msichana Anne wa nyumba ya paa la kijani